Psalms 38:5-7


5 aMajeraha yangu yameoza na yananuka,
kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu.
6 bNimeinamishwa chini na kushushwa sana,
mchana kutwa nazunguka nikiomboleza.
7 cViuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo,
hakuna afya mwilini mwangu.
Copyright information for SwhNEN